Sunny’s Navimba Lyrics (Ft. Nandy)

49

Nimumunye nini? Ing’ate ing’ate Sukuma chini  Umate umate

Nyuzi tisini  Nitume nifuate Nakesha kibindoni tamu Ifuate ifuate

Ukinigusa chela pina Nacheka cheka chela Ukinigusa chela pina Nacheka cheka chela

Twanga kama kokoto(Kikaaongoni) Chezesha na kiboko(Yai nyoni) Show zetu sio native(Vuka mtoni) Pita chuchu kwa chuchu(Nipande kilimani)

Nanenepa navimba Navimba navimba Nanenepa navimba Navimba navimba

(Pipi, piipi) (Pipi, piipi) (Pipi, piipi) (Pipi, piipi)

Wataumia koo  Wanaoleta leta mizozo Wambea wape kisogo Tulimalize zogo, ooh yaye

Yawabo, yawaboa Kunidekeza kitoto, yawaboa Ni mchumba kisha ondoa Kama madikodiko watakodoa

Pute najiwasha mwenyewe Peke yako wanikosha mwenyewe iyo Wanga wanaona gere  Wowowo

Twanga kama kokoto(Kikaaongoni) Chezesha na kiboko(Yai nyoni) Pita chuchu kwa chuchu(Vuka mtoni) Show zetu sio native(Nipande kilimani)

Nanenepa navimba Navimba navimba Nanenepa navimba Navimba navimba

Twanga kama kokoto(Kikaaongoni) Chezesha na kiboko(Yai nyoni) Pita chuchu kwa chuchu(Vuka mtoni) Show zetu sio native(Nipande kilimani)

Nanenepa navimba Navimba navimba Nanenepa navimba Navimba navimba

Ukinigusa chela pina Nacheka cheka chela Ukinigusa chela pina Nacheka cheka chela

Nanenepa navimba Navimba navimba Nanenepa navimba Navimba navimba

Nanenepa navimba Navimba navimba Nanenepa navimba Navimba navimba

(Pipi, piipi) (Pipi, piipi) (Pipi, piipi) (Pipi, piipi)

Comments are closed.

buy levitra buy levitra online