Nacha’s Nyasubi Lyrics

57

Nyasubi ndani ya mbanyu tena  Nyasubi get up

Hey bratha unashangaa nawaka  Nacha taa kwa giza Sio motokaa  Nacha stream quick and livid

Kwa vidume wote bongo wasio na maana Napenda niwatakie heri ya siku ya kina mama Alright, kwa mfano ni ukweli nawaambia Najihisi Tanganyika dem akinionyesha ziwa

Bongo wenyewe sio bro hawaoni haya Unaweza pika we alafu akala Jeremiah Nacha madharau siwezi fika walitabiri Wakageuka pweza wakajua watalikariri

Siamini, watu hichi kizazi cha kafiri Na vaaga salama hata nikiwa salama jabidi Kulinganishwa ndo sitakagi, hapana bro Na hata nikiuma kitu cha naked nameza panadol

Naweza rap hadi mchiriku ama segere  Nasikia mnataka beef nitawapa mchele na jegere Nitawapa dole mkakunie vipele Kisha nakula uso wa mbuzi kimedikadele

Ndo ile kitu matozi hawapendi Ngoma zangu vitunguu mtatokwa machozi bendi Walai hamtaamini nawachana Maana naenda airport Kia alafu naenda kiama Inachoresha inaumiza ukiibiwa mke Mwanao akawa mchizi extra ila  usichizike

Nikiwa peku mzee naitwaga poto Mbele yangu akiwa John Boko huwaga naitwa Nyozo Pawa mabula mi ni koo manu jide Maana ukinikuta na hasira ni Koffi Olomide

Kwata gwaride, msondo usikinde Bado sijajua mapanga mtemeke ukalime Na Dar sina baba arif Ukijifanya haunijui utanijua siku

Funga zip, kiduma unapobebwa nuksi Si mnapenda bebwa bebwa mtajikuta labour chief Huh, mwendo wa mateka tubu  Nacha na professor ukijifanya una sugu

Nacha anaua lini? Ndo habari za kiboya Hasa nikimkumbuka dogo wa Ngare Naro na Uwoya Sa sikiliza, nikivisha naipua madogo mtalamba mwiko Hii sukari kwenye mua 

Makali zaidi ya pilipili Wengi mtakiri, mi ndo xmas rapper Anayekula story alafu najenga mwili Ukibirizi Nyasubi cha mwindo mzoga

Uchizi ni huu, na fema wazi bila uwoga Wachezaji Yanga njaa hela mboga Alafu mnamcheka Moh kuwapa simba bodaboda OVER!

Lets take over the sport

Comments are closed.

buy levitra buy levitra online