Elani’s Nikupende Lyrics

60

Aaahhh…. Aaaah…

Hadithi, Hadithi, Hadithi njoo Mwanzo asubuhi, sura yako nionayo na Jioni jua likitua wajua nakuwaza Na asubuhi jua likiangaa Pendo letu lang’aa

[CHORUS] Nikupende, Nikulinde Usichelewe tuolewe Till loss of life do us half I promise to play my half Na nikupende,  hadi mi nife Hadi mi nife… Hadi mi nife…..

Hodi hodi Nimekutamani kutoka zamani Napiga hodi moyoni Let me in you’re all I want Jioni jua likitua wajua siwezi  pumua Na asubuhi jua likiangaa Pendo letu lang’aa

[CHORUS] Nikupende, Nikulinde Usichelewe tuolewe Till loss of life do us half I promise to play my half Na nikupende,  hadi mi nife Hadi mi nife… Hadi mi nife…..

 Wooouuuhh Woo uuuh

Nakumbuka ulivyosema unanipenda Nilikucheka tukitembea Na sasa nataka upajue kwetu Ujue pia Mama yangu Wewe ni zawadi yangu Yule wangu

Nikupende eeeh….. Usichelewe Njoo ishi nami, unizalie mami Na nikupende, hadi mi nifee

[CHORUS] Nikupende, Nikulinde Usichelewe tuolewe Till loss of life do us half I promise to play my half Na nikupende,  hadi mi nife Hadi mi nife… Hadi mi nife…..  

Comments are closed.

buy levitra buy levitra online